Eurosia wa Jaca

Mt. Eurosia akiwa amekatwa mikono.

Eurosia wa Jaca (pia: Orosia; alifariki Hispania, 880) alikuwa bikira Mkristo aliyeuawa na Waislamu waliotawala nchi hiyo [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Juni[2].

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/59325
  2. Martyrologium Romanum

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy